What is Harmony?

December 5, 2022
volunteers

What is Harmony?

Harmony is a state of living by thinking that all human beings are equal and therefore we should live by loving, respecting, and caring by our self in any situation.

Within harmony, we are urged to follow the nature of our ancestors, by following those wishes and we will be able to live peacefully without being affected by environmental changes.

If we live in harmony, which emphasizes the best balance among us in our communities, it will make us the best examples for the next generation in that sense, the future generation will benefit from the best welfare of society by following the principles of harmony.

We have to follow good morals that develop our society which includes respecting our origins.

Our Aman Hostel website which is located in Tanzania under the founder and chief administrator of the website, Mr. Edward Wilson, leads the website which provides support for tourism issues, along with various people who like to volunteer in various fields such as childcare, medical health, animal wildlife and etc.

 

Harmony ni nini ?

Harmony ni hali ya kuishi kwa kujiona binadamu wote ni sawa na hivyo tunatakiwa tuishi kwa kupendana ,kuheshimiana na kujaliana kwa hali yoyote ile.

Ndani ya harmony tuna sisitizwa kufuata asili yetu ya mababu zetu wa zamani ,kwa kufuata matakwa hayo tutaweza kuishi kwa utulivu bila kuathiriwa na mabadiliko ya tabia ya nchi.

Tukiishi kwa harmony ,ambayo inasisitiza uwiano bora miongoni mwetu katika jamii zetu itatufanya tuwe mifano bora kwa kizazi kijacho kwa maana hiyo ili kizazi kijacho kifaidi ustawi bora wa jamii kwa kufuata misingi ya harmony inatubidi tufuate matendo mema yanayostawisha jamii ikiwa ni pamoja na kuheshimu asili zetu.

Kupitia website yetu ya aman hostel ambayo iliyoko Arusha nchini Tanzania chini ya mwanzilishi na msimamizi mkuu wa website hiyo bwana Edward Wilson, anaiongoza website hiyo ambayo inatoa usaidizi wa maswala ya utalii,pamoja na watu mbalimbali wanaopenda kujitolea katika nyanja mbalimbali kama vile elimu,ujenzi ,sekta ya afya na zingine nyingi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

latest android games

|

popular android games